Kanisa
la Tanzania Assemblies of God Jerusalem Temple limeendesha ibada ya Ubatizo kwa
watu ambao walikuwa hawajabatizwa kanisani hapo jana Jumapili.
MCHUNGAJI MATTHEW SASALI AKIWA MADHAABAHUNI JERUSALEM TEMPLE MBEYA MEI 20, 2012
Kanisa hilo lililo chini ya Mchungaji na Mwangalizi
wa Sehemu ya Iyunga Addison Mwanjuga liliendesha ibada hiyo ambapo Mchungaji
Matthew Sasali alibatiza watu hao.