Biblia
imejaa mifano jinsi Mungu aletavyo "Ubaya" kwa maisha ya watu na
katika ulimwengu huu. Amosi 3:6 anasema kwamba ukiwapo ubaya
mjini, ni Mungu amefanya.
Biblia
imejaa mifano jinsi Mungu aletavyo "Ubaya" kwa maisha ya watu na
katika ulimwengu huu. Amosi 3:6 anasema kwamba ukiwapo ubaya
mjini, ni Mungu amefanya. Kwa mfano, kama likiwepo tetemeko la ardhi katika
mji, mara nyingi imedhaniwa kwamba Ibilisi amepanga juu ya mji huo, na kuleta
msiba mkuu. Lakini mwamini wa kweli inampasa afahamu kwamba ni Mungu
anayehusika na tukio hili.
Kwa mfano, kama likiwepo tetemeko la ardhi katika
mji, mara nyingi imedhaniwa kwamba Ibilisi amepanga juu ya mji huo, na kuleta
msiba mkuu. Lakini mwamini wa kweli inampasa afahamu kwamba ni Mungu
anayehusika na tukio hili.
Basi Mika
1:2 anasema kwamba "msiba -ubaya umeshuka toka kwa Bwana umefika
mpaka lango la Yerusalemu". Katika kitabu cha Ayubu tunasoma jinsi Ayubu,
mtu mwenye haki, alivyopoteza vitu alivyokuwa navyo katika maisha yake. kitabu
kinafundisha kwamba kupata 'Ubaya’ katika maisha ya mtu sio moja kwa moja ni
kipimo kwa utii wao au uasi juu ya Mungu. Ayubu aligundua hilo "Bwana
alitoa, na Bwana ametwaa" (Ayubu. 1:21).
Hasemi Bwana alitoa
na shetani ametwaa. Alifafanua kwa mke wake: Je ? tupate me,a mikononi mwa
Mungu, nasi (pia) tusipate na mabaya"? (Ayubu. 2:10).
Mwishoni mwa kitabu, rafiki zake Ayubu walimfariji kwa habari za huo uovu wote
Bwana aliouleta juu yake"(Ayubu. 42: 11; 19: 21; 8: 4).
hivyo Mungu ndiye chanzo cha 'Uovu’ kwa maana ya kuwa ni wa kwanza kuruhusu
matatizo ambayo tunayo katika maisha yetu.
"Maana
yeye ambaye Bwana ampenda humrudi ….. kama mkistshimili kurudiwa …. Lakini
baadaye huwaleta wao waliozoezwa nayo matunda ya haki yenye amani" (Ebra.
12: 6 -11). Hii inaonyesha kwamba majaribu ambayo Mungu anatupatia
yanatuongoza mwisho kukua kiroho. ni kupinga neno la Mungu juu yake kusema
kwamba Ibilisi ni kiumbe anayetulazimisha kutenda dhambi na kutenda yasiyo
haki, Wakati huo huo amedhaniwa kuleta matatizo katika maisha yetu ambayo
yanatupeleka tupate maendeleo "matunda ya haki yenye amani".
Hapa
wazo la Orthodox juu ya Ibilisi lakimbilia kwenye matatizo
makubwa. Makubwa hasa unapoona maneno kama nimempa shetani watu hao "ili
wafundishwe wasimtukane Mungu au" kumtolea shetani mtu huyo, ili mwili
uadhibiwe, na roho iokolewe katika siku ya Bwana Yesu"
(1
Tim. 1:20; 1 Kor. 5: 5).
Ikiwa shetani ni kiumbe anayefanya watu watende dhambi na kuwa na matokeo
yasiyofaa juu ya watu, ni kwa sababu gani mafungu haya ya maneno
yasema'Shetani’ kwa nuru ya hakika ? Jibu lipo kwa ukweli kwamba adui,'shetani’
au shida katika maisha, mara nyingi inaweza kuleta matokeo ya hakika kiroho
katika maisha ya mwamini.
Kama
tukikubali kwamba ubaya watoka kwa Mungu, Basi tunaweza kumwomba Mungu afanye
jambo lingine kuhusu matatizo ambayo tunayo k. m ayaondoe. Kama hafanyi hivyo,
basi, tunajua yametoka kwake Mungu kwa ajili yetu kiroho. Sasa kama tunaamini
ya kwamba kuna kiumbe fulani mbaya anayeitwa Ibilisi au shetani anayesababisha
matatizo yetu, Basi hakuna namna ya kupatana na mema.
Ulemavu, Ugonjwa, Kifo
cha ghfla au msiba mkuu uchukuliwe kuwa ni bahati mbaya. Ikiwa Ibilisi ni
Malaika mwenye dhambi aliye na nguvu, basi atakuwa ni mwenye nguvu nyingi zaidi
yetu, hatutakuwa na kuchagua bali kuteseka mikononi mwake. kwa kuhitilafiana,
tunafarijiwa kuwa chini ya uongozi wa Mungu, "mambo yote (katika maisha)
hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema"kwa waamini (Rum.
8:28). Kwa hiyo hakuna kitu kama hiki 'bahati’ katika maisha ya
mwamini.

yanatupeleka tupate maendeleo "matunda ya haki yenye amani". Hapa

Imetayarishwa na Jabir Johnson........Septemba 9, 2014

Tags
THEOLOJIA