Who Created God?
Ni
swali zuri, kutokana na ukweli kwamba wakristo mara zote wamekuwa wakijiuliza
katika mambo makuu ya mwili nani aliumba maisha na ulimwengu ulitokeaje, jibu
hubaki nalo wenyewe kuwa hivi vyo viwili haviwezi kutokea pasipo kuwa na
muumbaji.
Sasa
kama wameweza kukubali kuwa ulimwengu na
vyote vilivyomo vimetokea kutoka kwa
vyenyewe, itawezekanaje kukubali kuwa Mungu (GOD) ‘a more complicated being’
kujiumba mwenyewe?
Tags
MASWALI NA MAJIBU