MCHUNGAJI na Mwinjilisti wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God Eliya Lugwami kutoka Jijini Dar es Salaam aliwataka wakristo wajue kuwa Ukristo sio majina bali ni maisha.
"Wengi wanajisikia fahari kuitwa aklina Paulo, Simon na majina mengine ya Kikristo pasipo kujua kuwa Mungu anachokihitaji katika maisha yao ni nini, na wengine licha ya kuwa na majina hayo huendelea kufanya vitendo visivyo mpendeza Mungu hata kidogo".
Hata hivyo aliwataka watu wamkimbilie Yesu kwani ndiye tumaini pekee katika maisha ya mwanandamu.
Imeandikwa na Johnson Jabir
Aliyazungumza hayo wakati akuhubiri katika viwanja vya kanisa la T.A.G Mwakibete Jijini Mbeya Novemba 25, 2010 kwenye mkutano huo wa siku mbili ambapo watu wawili walimpokea Bwana Yesu kuwa Mwokozi wao.