JANUARI 22, 2012 ABEL CHAHEKA ALIMPOKEA YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI WAKE KATIKA KANISA LA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD ILOMBA CHRISTIAN CENTRE JIJINI MBEYA.
ABEL CHAHEKA AKIONGOZWA SALA YA TOBA NA MZEE KYANDO KANISANI HAPO
BAADA YA IBADA ABEL ALIONGE NA WAPENDWA MBALIMBALI AKIWEMO MR. SICHALWE, MR. JOSHUA MATAGANE
ABEL ALIONGEA NA VIONGOZI WA IDARA YA VIJANA (MABALOZI WA KRISTO) C.A's
BAADHI YA WANA C.A's WAKIWA NA MAKAMU MWENYEKITI WA IDARA HIYO BAADA YA IBADA KANISANI HAPO