JANURI
22, 2012, Abel Chaheka alimpokea Bwana Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha
yake katika Kanisa la Tanzania Assemblies of
God Ilomba Christian Centre Jijini Mbeya.
ABEL CHAHEKA AKIONGOZWA SALA YA TOBA NA MZEE KYANDO KANISANI HAPO SIKU HIYO.
Baada ya Mafundisho ya Neno
la Mungu kuhus kile alichokipokea Machi 11, 2012 alibatizwa kutimiza haki yote.
MCHUNGAJI MWAKITALU AKIMPA MAELEKEZO KABLA YA KUMBATIZA ABEL CHAHEKA
ABEL CHAHEKA AKIPONGEZWA BAADA YA KUBATIZWA.