MZEE WA KANISA AICT-MOSHI ENOS MASANJA AKIZUNGUMZA JAMBO
KATIBU WA AICT, ZEPHANIA RENATUS AKIZUNGUMZA JAMBO
MWINJILISTI WA KANISA AKIOMBA
MCHUNGAJI EZEKIEL SHIKOMBE AKISISITIZA JAMBO
KWAYA YA AICT-MOSHI IKIIMBA
WANAKWAYA WAKIMWABUDU MUNGU
KWA SASA KANISA LA AICT MOSHI LINATUMIA MAJENGO YA KANISA ANGLICAN
WATUMISHI WA BWANA WAKIZUNGUMZA JAMBO BAADA YA KUMALIZA IBADA
MZEE ENOS MASANJA NA KATIBU ZEPHANIA RENATUS WAKIFUATILIA JAMBO
HII ni
Ibada ya Jumapili ya Februari 17, 2013 katika Kanisa la Africa Inland Church(AICT) Dayosisi ya Pwani Local Church Moshi.