UANAFUNZI CLASS I Julai - Desemba 2009

Na Johnson Jabir

MBEYA



MADHUMUNI YA KUKUPA VICHWA HIVI NA MAANDIKO


ILI UPATE KUWA NA KUMBUKUMBU YA KITABU CHA SHULE YA UANAFUNZI CHA MWEZI JULAI HADI DESEMBA 2009 AMBACHO KILITOLEWA NA KANISA LA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD



NIKUTAKIE USOMAJI MWEMA NA WENYE BARAKA TELE



1. Utunzaji wa Ki-Mungu
Kut. 2: 1-10

2. Kiongozi Aliyechaguliwa na Bwana na Mungu
Kut. 3:4

3. Hukumu au Rehema – chagua
Kut.6:1-13

4. Kuokolewa kwa Njia ya Sadaka
Kut. 12:21-31

5. Uongozi wa Mungu
Kut.14:10-22

6. Utoaji wa Mungu
Kut. 15:23-27

7. Ushindi unatolewa na Mungu
Kut. 17:1-6, 8-16


8. Mwongozo Salama kwa ajili Maisha
Kut. 20:1-17

9. Nguvu ya Maombezi
Kut. 32:7-14, 30-33

10. Mpango wa Baraka
Kut. 40:12-19, 34-38

11. Hitaji la kuheshimu
Law. 9:23- 10:11

12. Matokeo ya kutokuamini
Hes. 13:17-21, 25-32

13. Mwisho wa Kazi kuu
Kumb. 34:1-12

14. Kuitikia mwito wa Mungu
Yos.1:1-11

15. Kristo, Bwana aliyefufuka
Mt.28:1-10

16. Kuamini yale ambayo Mungu anasema.
Yos. 2:3-15

17. Kufuatia Mpango wa Mungu
Yos. 3:7-17

18. Kujipatia Ushindi wenyewe
Yos. 6:9-20

19. Matokeo ya kutisha ya Dhambi
Yos. 7:10-19

20. Mungu Anaweza kufanya chochote.
Yos. 10:6-15

21. Kufanya uchaguzi ulio sawa
Yos. 24:14-24

22. Kukabiliana na Matatizo kwa Ujasiri
Amu. 7:12-21

23. Maovu ya chuki
Amu. 11:1-11

24. Gharama kuu ya kuishi Maisha ya Chini
Amu. 16:13-24

25. Wajibu wa kujitoa
Ruthu 1:6-19
26. Thawabu ya Uaminifu
Ruthu 4: 1-12

Post a Comment

Previous Post Next Post