FIKRA NZURI KWA MKRISTO NI MUHIMU

MWALIMU Aminika Mwihomeke amewataka vijana wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God Ilomba Christian Centre kuwa na fikra zenye mafanikio.

Akifundisha katika darasa la Mabalozi wa Kristo alisema kuwa vijana wengi huwaza kushindwa badala ya kuwaza kushinda katika hali zao za kimwili na kiroho kitu ambacho amekiita kuwa kibaya. Mwalimu Mwihomeke alisema Fikra ni mipango au mawazo yanayoambatana na nguvu ya imani ndani ya moyo wa mtu. Hata hivyo alisisitiza kuwa Fikra nzuri huleta uvumbuzi wa vitu mbalimbali pia hujenga maisha bora ya mwanandamu.
Katika ibada hiyo waliyohudhuria vijana akali ya 68 Mwalimu Mwihomeke alisisitiza kuwa Fikra za watu waliokoka zinatakiwa ziwe sahihi…

Post a Comment

Previous Post Next Post