SIMBA 1-1 YANGA

KATIKA michezo Tambo za Mashabiki na wapenzi wa Simba na Yanga kuhusu nani zaidi zimepata jibu baada ya dakika 90 za mchezo JANA jioni baada ya miamba hiyo kutoka sare ya kufungana 1-1 dimbani, Arsenal wametoka suluhu tasa dhidi ya Sunderland, Bingwa mtetezi wa Carling Cup Birmingham amecharazwa mabao 3-1 na West Brom Albion, Bolton wameichakaza Aston Villa mabao 3-2, na Newcastle ikiwa nyumbani St. James wamenyukwa mabo 2-1 na Everton.

Post a Comment

Previous Post Next Post