WAKRISTO wametakiwa kutafakari ukuu wa Mungu katika siku zote za maisha yao kwa maana matendo waliyotendea ni makuu.
Akihubiri kanisa hapo Mchungaji Lenadi Lwesya alisema kifo cha Yesu Msalabani kilithibitisha ushindi kwa wakristo juu ya Shetani.. Aliongeza kusema kuwa madhumuni ya Yesu Kristo kuwafanya kuwa wana ni kutoishi maisha ya dhambi hivyo kukaa chini na kutafakari ukuu wake kutazijenga imani zao.
Katika ibada hiyo walihudhuria waamni akali ya 280 Hata hvyo Mchungaji Lwesya alitoa wito kwa waamni hao kujitambua kwamba wanan Uungu ndani yake kwa kule kujazwa Roho Mtakatifu..