IJUMAA ya Marafiki inatarajiwa kuanza muda
wowote kuanzia sasa katika Mkahawa wa Metro Cuisine Jijini Mbeya.
AMICA SASALI MOJAWAPO WA WASHIRIKI
Shamrashamra
hizi hufanyika kila Ijumaa ya mwisho wa
mwezi mkoani humo kwa ajili ya kukutana na kutengeneza mtandao hususani kuvunja
viambaza vya madhehebu ndani Ukristo.
MC wa
leo ni Clemence Kabuje.