PASAKA/PASSOVER
JUMAPILI
HII NI MUHIMU SANA KWA WAKRISTO KOTE ULIMWENGUNI KUTOKANA NA UMUHIMU WAKE KUWA
NI MWANZO WA MWAKA SASA 2013.
MCHUNGAJI
BENJAMINI BUKUKU WA KANISA LA TAG AMANI CATHEDRAL CENTRE SOWETO MOSHI TANZANIA AKIMTAFAKARI BWANA NA UKUU WAKE
MWIMBAJI
WA NYIMBO ZA INJILI MZEE ISRAEL NDASHAO MAARUFU KAMA IGP AKIIMBA KATIKA IBADA
LEO.
ROHO
MTAKATIFU ALISHUKA WAKATI MAOMBEZI YAKIFANYIKA
Ibada
ya Pasaka MCRCTV ilitua katika Kanisa la TAG Amani Cathedral Centre Moshi
Tanzania.
ZAIDI BOFYA: JAIZMELALEO