YESU NI NANI?

Na Johnson Jabir
MBEYA, TANZANIA

Yesu wa Nazareti ni nani kwako? Maisha yako hapa duniani na ya milele yanaguswa na jibu lako kwa swali hili?
Nani, kwa maoni yako, ni...

•Mtu wa ajabu kupita watu wote katika nyakati zote?

•Nani aliyejitokeza kuwa mtu mashuhuri kwa vipindi vyote?

•Kiongozi mkuu?

•Mwalimu mkuu?

•Mtu aliyefanya matendo mema kwa wanadamu kupita mwingine?

•Mtu aliyeishi maisha matakatifu kuliko yeyote aliyewahi kuishi?

Post a Comment

Previous Post Next Post