Na Johnson Jabir
ILOMBA Christian Centre, MBEYA-TZ
Pepo akimtoka mtu huwa tabia ya kurudi tena. Hapo awali niliamini kwamba mtu akiisha kuombewa mapepo yakatoka basi ndio mwisho wake wala hawezi kurudiwa na hayo. Na wakati mwingine nilijaribiwa kufikiri kwamba labda wahusika hawakuwa wamefunguliwa kwelikweli, ndio maana bado hawajapona.
“ Pepo mchafu amtokapo mtu…………”
Hivyo ni wajibu wetu kuhakikisha tunaziba nafasi au mianya yote iliyo wazi ili pepo akirudi asipate nafasi tena.
JINSI YA KUZIBA MIANYA ILYOACHWA WAZI
Nafasi hii haiwezi kuzibwa na kitu chochote cha binadamu, wala dini haiwezi kuziba nafasi ya mtu aliyetokwa na pepo bali yafuatayo yaweza kuwa njia sahihi
ii) Kuishi maisha matakatifu