UCHAGUZI WA VIONGOZI WAPYA WA IDARA YA C.A's T.AG ILOMBA WAFANYIKA
byMCRCTV- Bonde la Kukata Mashauri-
0
VIONGOZI WA IDARA YA C.A's WAPYA WAMEAPISHWA BAADA YA KUPITISHWA NA WAJUMBE WA IDARA HIYO KATIKA KANISA LA T.A.G ILOMBA CHRISTIAN CENTRE JIJINI MBEYA JUMAPILI YA FENRUARI 5 MWAKA HUU NA UONGOZI WA WA KANISA.