C.A’s
MARIA NKWAMA
MWALIMU:
Maria Nkwama
MASOMO: Hekima
KITABU: Mithali
Details:
• Manufaa ya Hekima
• Ubora wa Hekima
• Haiwezekani kuijua Hekima pasipo kumjuaa Bwana Mungu (Hekima ni Kumcha Bwana)
• Hekima inatafutwaa, anayeipata hupata utaajiri na heshima
• Hekima ni Yesu Mwenyewe
• “Wokovu” wa Yesu kwa mwanadamu ni wa muhimu. Utambue uthamani wa kuwa nao.
MAANDIKO:
• Mithali 8:11, 22-31, 32-36
• Yoh.1:1-4
• Ayubu 28:12-18
• Isaya 45:18
• 1Kor.1:23-25
VIJANA WAKITOKA IBADA KUU NA KWENDA IBADA YA C.A's
Maria Nkwama
Katika ibada ya kwanza ya Februari 5 mwaka huu Vijana wa Idara hii waliorekodi albamu waliimba wanajulikana kama mapacha.