MWANDISHI NGULI Harris Kapiga ameitembelea Redio Baraka FM na kuwaasa Watangazaji wa Redio hiyo kuthamini nafasi yao waliyopewa na Mwenyezi Mungu kukaa hapo.
HARRIS KAPIGA (KUSHOTO) AKISHUKA KWENYE GARI LA USHINDI FM
MAZUNDA AKISALIMIANA NA MKE WA MENEJA WA REDIO USHINDI REBECCA SASALI
HARRIS KAPIGA AKIKARIBISHWA NA MWENYEJI WAKE HENRY MAZUNDA CHIMWEMWE
WAFANYAKAZI WA REDIO BARAKA FM
HARRIS KAPIGA