HILI LILIKUWA KONGAMNO LA PASAKA KWA WANAFUNZI WAKRISTO KATIKA VYUO VIKUU MKOANI MBEYA KATIKA PICHA.
SIFA NA KUABUDU IKIENDESHWA
UKUMBI WA SEKONDARI YA MBEYA MAENEO YA SABASABA JIJINI MBEYA
MCHUNGAJI MGIMBA, MWENYEKITI WA USCF PENIEL SARAKIKYA
MCHUNGAJI MGIMBA
MCHUNGAJI ERNEST NGUVILA NA MCHUNGAJI OSCAR
HADHIRA IKISIKILIZA
ZAIDI SANA UTULIVU ULIKUWEPO
PIA KUNA WAKATI WALIKUWA WAKICHEKA
MWALIMU GEORGE MAKOJA AKIZUNGUMZA JAMBO
MWALIMU MAKOJA AKISISITIZA
MWALIMU MAKOJA AKIZUNGUMZA KWA MIFANO
HATA MADHABAHUNI KUNA WAKATI WALIKUWA WAKICHEKA
MWALIMU GEORGE MAKOJA AKISISITIZA
MWALIMU MAKOJA AKISISITIZA KWA NGUVU ZAIDI
MWENGINE WALIKUWA WAKISIKILIZA NA WENGINE WAKIMHITAJI MUNGU AWASAIDIE
MWALIMU MAKOJA AKISISITIZA ZAIDI
HUYU NI LYDIA MWANAFUNZI KUTOKA MZUMBE
MCHUNGAJI ERNEST NGUVILA AKITAYARISHA KUFANYA MAOMBI