MUDA WA MAOMBEZI ULIWADIA NA WATUMISHI WA BWANA WAKAANZA KUWAOMBEA WANAFUNZI WA VYUO MKOANI MBEYA ILI MUNGU ATENDE MUUJIZA KWAO HAKIKA WENGINE WALIFUNGULIWA PALE PALE.
WALIPITA MBELE NA KUFANYIWA MAOMBI
WENGINE WALILIA KWA HUZUNI WAKIMTAKA BWANA MUNGU ATENDE JAMBO KAWO
MCHUNGAJI OSCAR AKIWEKA MKONO JUU YA MHITAJI HUYU
MCHUNGAJI OSCAR AKIENDELEA KUFANYA MAOMBI
KIJANA HUYU AKIFUNGULIWA BAADA YA MAOMBI
MCHUNGAJI ERNEST NGUVILA NAYE AKIFANYA MAOMBEZI KWA AJILI YA WENYE UHITAJI