TUJIKUMBUSHE: MKESHA WA IJUMAA KUU YA PASAKA 2012 KANISA LA TAG ILOMBA MBEYA, MMOJA AOKOKA

MKESHA WA IJUMAA KUU ULIANZA MAJIRA YA SAA 4: 00 USIKU KWA MAOMBI NA HII NDIYO HADHIRA YA KWANZA KUFIKA.

 MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI TANZANIA BARAKA MWAKILEMA
 MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI TANZANIA WILLY MWAKASEGE
 MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI TANZANIA ISMAIL NWINUKA.



ULIFIKA WAKATI WA KUIMBA PAMOJA NA WAKAIMBA PAMOJA HAKIKA MUNGU ALIKUWA PAMOJA NAO.
MZEE KIONGOZI WA KANISA LA TAG ILOMBA MBEYA MWASHILINDI AKITANGAZA JAMBO.
KUKESHA HUKO KULIENDA SAMBAMBA NA MAOMBI PIA KUANGALIA MUVI YA MATESO YA YESU.

 USIKU WA MANANE SIKU HIYO KULIKUWA KAMA UNAVYOONA.


PIA CHAI ILIKUWEPO USIKU HUO




Post a Comment

Previous Post Next Post