Nadia
Mohammed Ali raia wa Misri alikuwa Mkristo miaka 23 iliyopita wakati
alipoachana nao na kujiunga na dini ya Kiislamu nchini humo na kuolewa na Mohammed Abdel-Wahhab Mustafa. Baada
ya kifo cha mumewe aliamua kuurudia Uislamu
na familia yake yote ikakubali. Hata
hivyo Mahakama ya makosa ya jinai ya Beni Suef iliyopo katikati ya Misri
imemhukumu mama huyo na familia yake miaka 15 jela kwa kitendi hicho juma
lililopita. Duru za Habari kutoka nchini Misri zinasema watoto wake kila mmoja amehukumiwa miaka
mitano.