MOSHI
Akizungumza na Dawati la Habari
la Redio Kili FM Mchungaji Benjamin Bukuku wa Kanisa la Tanznaia Assemblies of
God Amani Cathredal Centre Mjini Moshi amesema Teknolojia ni nzuri ya utumiaji
wa simu na vifaa vingine kama kompyuta kwa maendeleo ya jamii kwa ujumla.
Aidha Mchungaji Bukuku amesema
imefika wakati uwepo ustaraabu wa kujua kuvitumia kwa mazingira yake pasipo
kuathiri shughuli nyingine.
CHANZO: JAIZMELALEO