IBADA
ya Jumapili Oktoba 13, 2013 katika Kanisa la Tanzania Assemblies of God, Amani-Soweto
Mjini Mosi ilikuwa ya kuvutia sana kutokana na
Uwepo wa Roho Mtakatifu.
Mchungaji
Benjamin Bukuku wa Kanisa hilo alihubiri kuhusu Kumcha Mungu, kwa Lugha nyepesi
tunaweza kusema namna gani waweza kumcha Bwana Mungu.