Askofu Zacharia Kakobe afanya makubwa Igale, Mbeya

Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGVF) Zachary Kakobe akisaidiwa kutembea huku akiwa ameshikiliwa kufuatia kushukiwa na Roho Mtakatifu wakati wa ziara ya kiutumishi huko Igale mkoani Mbeya eneo ambalo ni asili ya Upentekoste nchini. PICHA ZOTE NA Gazeti la Nyakati TOLEO NA. 975  JUMAPILI Agosti 4-10, 2019.

Askofu Zacharia Kakobe wa Kanisa la Full Gospel alizuru Igale, Mbeya mahali ambako ni mwanzo wa Upentekoste nchini Tanzania. Shangwe, nderemo, na vigelegele wakati wa ujio wake pia umwagiko wa Roho Mtakatifu.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGVF) akiombea watu mbalimbali wakati wa Mkutano wa Injili uliofanyika katika viwanja vya Igale, eneo ambalo ni asili ya Upentekoste nchini. 

Kanisa la kwanza la Kipentekoste lililojengwa mahali ambapo Roho Mtakatifu alishuka kwa mara ya kwanza mwaka 1927.

Post a Comment

Previous Post Next Post