WAZAZI waliokoka mkoani Mbeya wametakiwa kuwafundisha watoto wao kutoa sadaka ya shukrani uili kuepusha kizazi ambacho kitakuwa hakijui kumshukuru Mungu kwa matoleo ya kazi zao.
Akizungumza katika Ibada ya Jumapili Mzee Kiongozi wa Kanisa la Tanzania Asssemblies of God Ilomba Christian Centre Yusuf Kitururu alisema kuwa wazazi ni wajibu wao kuwafundisha watoto kumtolea Mungu sadaka kama ambavyo Mungu anataka.
"hata Adamu na Hawa waliwafundisha Kaini na Habili kutoa sadaka na ndio maana walikuwa wakitoa hata walipokuwa wakubwa vivyo hivyo kwetu leo ni vema tukawafundisha watoto wetu namna inayofaa kumtolea Mungu kwani mbinguni imetupasa kwenda na familia zetu".
Hayo yanajiri ikiwa ni siku chache kabla ya kutoa sadaka ya shukrani kwa kanisa la Tanzania Assemblies of God Desemba 5, mwaka huu kwa kila mshiriki kutokana na Munghu alivyomfanyia kwa mwaka mzima.
Imeandikwa na Johnson Jabir.