KANISA
la Tanzania Assemblies of God Ilomba Christian Centre Mbeya lilifanya Ibada
iliyojawa na nguvu za Roho Mtakatifu ikifuatiwa na Meza ya Bwana (HOLY
COMMUNION).
MEZA YA BWANA ILIFANYIKA KANISANI HAPO
DAMU YA YESU
MWILI WA YESU
MCHUNGAJI VINAC AMNON MWAKITALU AKIOMBEA MEZA YA BWANA
VIONGOZI WA KANISA WAKIPATA MAELEKEZO
KILA MSHIRIKA ALISHIRIKI CHAKULA CHA BWANA
HOLY COMMUNION ILIFANYIKA KANISANI HAPO