Somo:
UPENDO
Mwalimu:
Aminika Ihomeke
Mahali:
Kanisa la TAG Ilomba Christian Centre, Mbeya
Ibada:
C.A’s Jumapili Februari 26, 2012
AMINIKA IHOMEKE AKIFUNDISHA KANISANI KATIKA IBADA YA JUMAPILI KWENYE DARASA LA C.A's
AMINIKA IHOMEKE AKIENDELEA KUFUNDISHA C.A's
· Upendo
“hausudu” (usiokuwa na hila)
· Upendo
“hautakabali” (hautafuti sifa-haujionyeshi”)
· Upendo
haukosi kuwa na “adabu”(aliyekosa adabu hawezi kuwa na nidhamu, mwenye adabu
ana nidhamu na hana dharau-Mithali 3:4, Fil. 4:8, 2Kor. 8:21-24, 1Sam. 2:26,
Lk.2:52, Mdo 2:47. Upendo ulikosa adabu ni kero na ubatili).
· Upendo
hautafuti mambo yake (Fil.2:4, 1Kor. 10:24, 31-33, Rum. 15:1-2. Upendo wenye
kutafuta mambo yake ni UKOLONI).
· Upendo
hauoni uchungu (uchungu ni maumivu yanayoambatana na masikitiko. Ef.4:23,Kol.
3:12 Ni heri ukatili wenye upendo kuliko upendo wenye uchungu.
Safi
ReplyDelete