Kwaya
ya Uinjilisti Kanisa la KKKT Kariakoo,wanasikitika kutangaza
msiba wa muimbaji mwenzao Bi Agnes Yamo,kilichotokea
katika hospital ya Lugalo asubuhi ya leo saa 2.30.
Agnes alizaliwa mwaka 1978. Taratibu zote za msiba mtajulishwa.
Bwana alito na Bwana
ametwaa Jina lake libarikiwe,..Amina.
This comment has been removed by the author.
ReplyDeletemungu akubaliki kwa kile chochote ambacho kimpendezao maishani mwake na akueke mikononi mwake mirere na zaidi
ReplyDelete