MWAKA
2013 MCRCTV iliumaliza kwa kutembelea mahali ambapo wazo la Blog hii
lilipoanzia, ikiwa ni baada ya miaka 4.
Blog ilianzishwa mwaka 2009.
KANISA
LA T.A.G MSEWE LINAVYOONEKANA KWA SASA
MZEE
WAMBURA
MWANADADA
OLIPA NA FELICIAN NKWERA WAKIFURAHIA JAMBO BAADA YA KUKUTANA NA MIONGONI MWA
WAANZILISHI WA BLOG HII
SEHEMU
AMBAKO MCHORAJI HUYO ALIKUWA AKIFANYA KAZI YAKE
Ilikuwa
ni Desemba 9, 2013 ilipofika katika Kanisa la Tanzania Assemblies of God Msewe Christian
Revival Centre(MCRC) na kukutana na wapendwa katika Kristo Yesu.
Kauli
mbiu ya Bonde la Kukata Mashauri ilitokea hapo.
Miongoni
mwao ni Mzee Wambura, Mpiga Keyboard Felician Nkwera na wengine kama ionekanavyo
katika picha.
Sehemu ambayo kikosi cha kuianzisha blog hii kilikuwa kikikutana ilikuwa ni katika mtaa wa Shule ya Msingi Msewe kwa mchoraji aliyefahamika kwa jina la Johnson.
MUNGU
IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA
Tags
WASIFU