DAR ES SALAAM, TANZANIA
|
Kanisa la Msewe Christian Revival Centre |
Godwin Mujaki ni mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God, Msewe Christian Revival Centre (MCRC) jijini Dar es Salaam.
Aprili 16, 2016 blog hii ilitua kanisani hapo kwa mara nyingine kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali hata hivyo ilikutana na baadhi ya waumini wa kanisa hilo.
Waumini hao walifurahi sana kuuona ujumbe wa blogu hii uliongozwa na Jabir Johnson.
Takribani miaka saba ilikuwa imepita bila kuonana, kwa mara ya mwisho ilikuwa Novemba 2009.
Picha zitakuonyesha furaha katika nyuso zao.
|
Kanisa la Msewe linavyoonekana kutoka lango kuu |
|
Lango Kuu la kuingia Kanisa la Msewe |
|
Jiwe la Msingi la Kanisa la Msewe |
|
Felician Nkwera (Baba Gladness) na Mr.Joshua |
|
Mr. Gabriel Maputa |
|
Mrs. Maputa |
|
Mr. Mutembei |
|
Mama Tryphone |
|
PrayGod |
|
Reverend Godwin Mujaki on 16th April 2016 |
kweli ni furaha sana kuifikia dunia kwa kutumia technologia hivyo hivyo, inapendeza sana
ReplyDelete